Header

May 2017

May 30, 2017

Arsenal yafikia makubaliano na Wenger

Uongozi wa klabu ya soka ya Arsenal umefikia makubaliano na kocha wa klabu hiyo Arsene Wenger kuendelea kukinoa kikosi hicho kwa  miaka miwili baada ya mkataba wake kufikia tamati msimu huu. makubaliano hayo yamefikiwa hii leo kati ya mmiliki wa ... Read More »

May 30, 2017 0


May 30, 2017

Aguero kusalia Man City

Mwenyekiti wa klabu ya Manchester City Khaldoon Al Mubarak amethibitisha kuwa nyota wao Sergio Kun Aguero ataendelea kusalia katika klabu hiyo yenye maskani yake katika Dimba la Etihad jijini Manchester. Aguero,28 amekua akihusishwa kuondoka Manchester City baada ya kusajiliwa mchezaji ... Read More »

May 30, 2017 0


May 30, 2017

Mirror: Nikirudi, narudi na nguvu maradufu

Baada ya kimya kirefu kilichosabishwa na kupata ajali ya gari, Mirror amerudi tena kwa mashabiki kuwaeleza kinachoendelea kwenye muziki wake. "Mashabiki zangu nataka wafahamu kuwa Mirror anarudi tena, wanipokee kama walivyonipokea zamani na ninawaahidi kufanya mara mbili ya zamani ... Read More »

May 30, 2017 0

May 30, 2017

Mfahamu mrithi wa Enrique Barcelona

Klabu ya Barcelona imemtangaza Ernesto Valverde kuwa kocha mpya wa klabu hiyo kwa kandalasi ya miaka miwili na ataanza kukinoa kikosi hicho hivi punde kujiandaa na msimu ujao 2017/2018. Kocha huyo mwenye asili ya Uhispania anajiunga na Barca akitokea katika ... Read More »

May 30, 2017 0