Header

May 2017May 29, 2017

Irene Uwoya ataja kinachomkera Instagram

Msanii wa Bongo movie Irene Uwoya, amezungumzia vitu ambavyo vinamchukiza sana kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram. Muigizaji huyo amesema anachukizwa na watu ambao wanaamini matusi ndio kila kitu. "Unajua sisi mashabiki zetu wapo katika nafasi nzuri ya kusema kama ... Read More »

May 29, 2017 0May 29, 2017

Kerber atupwa nje mashindano ya French Open

Mchezaji nambari moja kwa ubora katika mchezo wa Tenesi kwa upande wa wanawake Angelique Kerber ameondolewa katika raaundi ya kwanza ya mashindano ya French Open yanayoendelea mjini Paris nchini Ufaransa. Mshindi huyo mara mbili wa ubingwa wa Grand Slam, amepoteza ... Read More »

May 29, 2017 0