Header

Miss Tanzania 2016 aingia katika orodha ya waliopiga picha wakiwa wamepaka mafuta

Mrembo na mshindi wa taji la Miss Tanzania 2016 ‘Diana Edward’ apiga picha na kuweka mtandaoni zenye muonekano na mudhui yenye kukaribiana na zile sawa na picha zilizozungumziwa na uliomponza mtandaoni msanii na mkali wa muziki wa RnB kutoka Tanzania Ben Pol.

Miss huyo, Diana kufuatia kuwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake amepost picha ambao anaonekana mwili kama mwenye kupakwa mafuta kuwelekea wafuasi wake katika mtandao kupitia ukurasa wake wa Instagram picha yenye muambatano wa maneno ya kujitaki kumbukumbu ya tarehe na siku ya kuzaliwa kwake.

Hata hivyo kufuatia mfumo huo wa kupiga picha na kuonekana baadhi ya sehemu za mwili kupakwa mafuta umepewa mpewa msemo kutokana na msemo wa ‘Kuaka mfuta kwa mgongo wa chupa’ na kubadilishwa kuendana na kilichotokea kwa Ben Pol kuwa kwasasa baadhi ya watu wanase,a kuwa ‘Unapaka mafuta kwa mgongo wa Ben Pol.

Happy Birthday Diana Edward ‘Diana Flave’

 

Comments

comments

You may also like ...