Header

Rihanna atangaza ujio wa vipodozi vyake ‘Fenty Beauty’

Rihanna anatarajia kuingiza sokoni vipodozi vyake vilivyokuwa vikisubiriwa kwa muda mrefu, Fenty Beauty baadaye mwaka huu. Mchongo wa muimbaji huyo utatoka kupitia LVMH ya Kendo Brands.

Kupitia Instagram Rihanna ameandika, “You ready? @fentybeauty
new generation of beauty… coming this FALL!.”

Ushirikiano kati ya Rihanna na LVMH unadaiwa kuwa na thamani ya dola milioni 10.

Comments

comments

You may also like ...