Header

Ariana Grande awatembelea hospitali majeruhi wa show yake ya Manchester

Mwanamuziki Ariana Grande amewatembelea wahanga wa shambulio la kigaidi la kujitoa mhanga lililotokea katika tamasha lake la ‘One love Manchester’ moja ya matamasha katika ziara yake ya ‘Dangerous Woman World Tour’ wiki iliyopita mjini Manchester nchini Uingereza.

Ariana siku ya jana Mei 2  amewatembelea hospitali mashabiki wake waliojeruhiwa katika tukio hilo ambapo mbali na muwajulia hali na kuwafariji pia alipata nafasi ya mazungumzo na kupiga nao picha.

 

Hata hivyo Ariana Grande jumapili hii fanya show ‘One Love Manchester’ ya kujitolea kwa ajili ya kuwachangia wahanga wa tukio hilo ambapo atasindikizwa na wasanii wakubwa wakiwemo Justin Bieber, Katy Perry, Miley Cyrus, Coldplay, Pharrell Williams, Usher na wengineo show itakayofanyika kwenye uwanja wa cricket wa Old Trafford.

Comments

comments

You may also like ...