Header

Ngoma hizi 2 za muimbaji wa R&B na soul wa Bongo zitakushangaza

Tanzania ina vipaji vingi vya uimbaji lakini si vyote ambavyo umevisikia. Moja ya vipaji hivyo ni Topher Jaxx ambaye uwezo wake wa kuimba ni wa level nyingine kabisa.

Anafamika sana kwa kuimba muziki wa live wenye mchanganyiko wa R&B na soul ambao ukiusikiliza lazima utajiuliza mara mbili mbili kama muimbaji kama huyu yupo kwenye ardhi ya Bongo. Hebu zitegee sikio ngoma zake hizi mbili ambazo alizitoa hivi karibuni.

Comments

comments

You may also like ...