Header

Nandy amtaja aliyemshauri kuhusu album yake ijayo

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka ‘THT’ Tanzania aliyetamba zaidi na ngoma yake ya ‘One Day’ na mwenye ujio wa kazi mpya inayokwenda kwa jina ‘Wasikudanganye’ Nandy ametaja mtu wakwanza kumshauri kufanya album inayotegemewa kutoka rasmi mwakani.

Akipiga stori uso kwa uso na Dizzim Online Nandy amesema kuwa mpaka sasa amefikia katika hatua nzuri ya kukamilisha na kufichua kuwa wapo wasanii wakubwa wa ndani na nje ya Tanzania huku akigusia kuwa kati ya nchi ambazo ameshafikiria kuwashirikisha wasanii katika album yake ni Afrika Kusini na Nigeria.

Msikilize hapa chini kuyajua mengi.

Comments

comments

You may also like ...