Header

“Wimbo wako na Eddy Kenzo iko down”- OTILE BROWN amchana BAHATI, Mashabiki Wa Bahati Wamshambulia

Msanii Otile Brown ambaye sasa hivi anafanya vizuri na kazi yake mpya ‘kistaarabu’, ametumia mtandao wa instagram kumpasha msanii wa injili wa humu nchini BAHATI. Kupitia account yake ya instagram, Otile ameandika

“Daah! Huu wimbo wa bahati na eddy kenzo Iko down jamani , wimbo mbaya kweli 😂😂 .. Mafans wa bahati acheni kumdanganya . Mwambieni bahati nimejitolea kum’andikia wimbo wake ujao bure and he should get some vocals training maze . Aache ku waste collabos”,

https://www.instagram.com/p/BVO_5-kArT-/?taken-by=otilebrown ,

ujumbe huu umepokelewa kwa hisia tofauti, kuna baadhi ya mashabiki wamekubaliana na kauli hiyo huku wengine wakitofautiana vikali nayo.

Comments

comments

You may also like ...