Header

Hollywood na makampuni ya dijitali yaunda umoja kukabiliana na Uharamia

Takriban watengeneza maudhui 30 wa Marekani yakiwemo makampuni makubwa yanayomiliki vituo vya TV na yale ya dijitali yakiwemo Amazon, Netflix,na Hulu — Jumanne hii yamezindua umoja wao uitwao, Alliance for Creativity and Entertainment (ACE) kushughulikia kile ilichokiita kuendelea kwa vitisho kwa watengenezaji na uchumi.

Umoja huo utapambana na suala la uharamia wa kazi za TV na filamu duniani.

Makampuni ya TV na filamu yaliyomo kwenye umoja huo ni pamoja na CBS, Disney, Fox, na Comcast’s NBCUniversal, AMC Networks, BBC Worldwide, Bell Canada na Bell Media, Canal+ Group, Constantin Film, Foxtel, Grupo Globo, HBO, Lionsgate, MGM, Millennium Media, Paramount Pictures, SF Studios, Sky, Sony Pictures Entertainment, Star India, Studio Babelsberg, STX Entertainment, Univision Communications, na Warner Bros. Entertainment.

Comments

comments

You may also like ...