Header

Runtown na Selena wapata mtoto

Msanii wa muziki na mkali wa ngoma ya ‘Mad Over You’ kutoka Nigeria Runtown na mpenzi wake Selena Leath amepata mtoto wao wa kiume.

Kupitia ukurasa wa instagram Runtown siku ya jana aliweka video ya mtoto wake aliyepewa jina la Zamar na kuandika maneno ya furaha na kumkaribisha mtoto huyo wa kiume.

Runtown na Selena Leath

“May the good Lord place a shield of protection around you, keep you healthy and guard you as you grow into a man your mom and dad wud be proud of My bestfriend and my son Zamar ” Aliandika katika picha ya mtoto huyo.

Ambapo Selena aliweka video hile pia katika ukurasa wake wa Instagram na kuandika “My adorable angel Zamar is finally here!

Comments

comments

You may also like ...