Header

Stereo na Rich Mavoko kwenye video ya Mpe Habari ni hatari tupu

Kila mtu amebadilika kwenye wimbo huu. Stereo alijipatia sifa kwa rap ngumu ya Tamaduni Muzik na Rich Mavoko siku za nyuma alifahamika kwa uimbaji wa nyimbo za taratibu za mapenzi. Lakini wakali hao, kwenye Mpe Habari wameonesha uwezo tofauti kwa kufyatua club banger kali kabisa. Humu ni bata za kwa kwenda mbele, stress ziache nyumbani kwako. Wimbo umetayarishwa na mpishi wa Wasafi Records, Lizer huku video ikiongozwa na Joowzey. Icheki.

Comments

comments

You may also like ...