Header

Mrembo Sanchoka ajibu mapigo ya Ben Pol (+Picha)

Mwanamitindo wa kike maarufu Tanzania kwa jina la Sanchoka au Sanchi kupitia akaunti yake ya Instagram ya SanchoWorld ametupia picha zenye mahudhui sawa na kile alichofanya Ben Pol katika picha za ujio wa ngoma yake ya Tatu.

 

Zikiwa ni zenye madoido ya michoro sambamba na maudhui ya kupatwa mafuta picha mbili zilizofuatana ambapo muda mfupi baada ya Sanchi kupost picha hizo aliweka akaunti yake hiyo ya Instagram Private, mfumo ambao huwezi kuona alichokipost kama hajakuruhusu uwe katika orodha ya wafuasi wake.

Comments

comments

You may also like ...