Header

Album mpya ya Jay Z ‘4:44’ kutoka June 30

Album mpya ya Jay Z itaitwa 4:44 na itaachiwa rasmi kupitia Tidal na watumiaji wa mtandao wa simu Sprint June 30. Jay aliachia kipande cha wimbo uitwao ‘Adnis’ mapema Jumapili.

Hiyo ni album yake ya kwanza ikihusisha Tidal na Sprint, kampuni ambayo ilinunua asilimia 33 za hisa zenye thamani ya dola milioni 200 mwenye January.

4:44 inakuwa album yake mpya tangu atoe Magna Carta Holy Grail mwaka 2013 ambayo aliiuza kwa kuingia mkataba wa dola milioni 20 na Samsung ambapo ilipatikana kwenye simu milioni 1 za Galaxy.

Comments

comments

You may also like ...