Header

Saida Karoli wazo lake la wimbo wa ‘Orugambo’ ilikuwa iwe kolabo

Msanii wa muziki wa asili kutoka Tanzania Saida Karoli ametoa maelezo ya kile ambacho hakikutoka kuhusu wazo la wimbo wake mpya wa ‘Orugambo’ kama angepewa nafasi ya kushirikishwa.

Saida ameimabia Dizzim Online kuwa wazo la wimbo wa ‘Orugambo’ unaozungumzia maneno maneno ya watu angelitumia kama katika wimbo wowote ambao angeshirikishwa na Darassa.

Darassa ambaye amefanya vizuri zaidi na wimbo wake wa Muziki wimbo ambao ndo ametumia wazo la mistari ya wimbo wa Saida wa ‘Maria Salome’ au Chambua kama Karanga ambapo pia ameimbia Dizzim kuwa yuko tayari kufanya wimbo na Darassa na Diamond Platnumz na wengine wote ambao wako tayari kushirikiana naye.

Msikilize hapa katika mahojiano na Dizzim Online.

Comments

comments

You may also like ...