Header

Picha: Hatimaye Jux ahitimu chuo China, awaziba mdomo waliokuwa hawaamini anasoma

Jux amehitimu masomo yake nchini China baada ya miaka mingi ya kudai yuko masomoni bila kuonesha picha yoyote akiwa darasani.

Amepost picha kadhaa kwenye Instagram akiwa amevalia joho pamoja na wanafunzi wenzake waliohitimu. Baadhi ya watu wamekuwa wakidhani anadanganya kuwa anasoma China kwasababu hajawahi kuonesha picha akiwa kwenye mazingira ya chuo.

Picha hizo zimewaziba mdomo wote waliokuwa hawamuamini. Tunampongeza sana Jux kwa hatua hiyo.

Comments

comments

You may also like ...