Header

King Bach wa leo Mwaka jana alizindua App yake

Ametimiza umri wa miaka 29, unaweza kumuita King Bach aliyepata umaarufu zaidi kupitia kazi yake kama mchekeshaji zadi kupitia filamu fupi fupi za mitandaoni akishirikiana na wenzake katika maigizo.

Baada ya kupata umaarufu zaidi kupitia vichekesho vyake mtandaoni Bach anaweza kujipongeza kwa kupiga hatua ambapo mwaka jana(2016) alizindua rasmi Applicatio yake ya ku-edit picha kwa jina la ‘Bachify’.

Ikiwa ni njia moja wapo ya kujitanua kibiashara kwa King Bach, Application hiyo inapatikana kwa watumiaji wa vifaa vya mawasiliano ambavyo ni Iphone, iPad, pia unaweza kuipata kupitia iOS App Store.

Comments

comments

You may also like ...