Header

Mjamzito Serena Williams akaa utupu kwenye cover la Vanity Fair

Bingwa wa tennis duniani, Mmarekani, Serena Williams, haoni noma watu kumuona akiwa ndani ya birthday suit, tena akiwa mjamzito. Malkia huyo wa tennis, amekaa utupu juu ya jarida jipya la Vanity Fair. Williams anatarajia kupata mtoto wa kwanza na mchumba wake, Alexis Ohanian.

Serena Williams na Ohanian walichumbiana December mwaka jana na wanatarajia kufunga ndoa, baada ya mtoto wao kuzaliwa.

Comments

comments

You may also like ...