Header

Masterkraft awakutanisha Tekno, Davido, Sarkodie, Dj Maphorisa na wengine kwenye Mixtape yake

Mtayarishaji wa muziki maarufu kutoka nchini Nigeria Sunday Ginikachukwu Nweke a.k.a Masterkraft amethibitishakukamilika kwa ujio wa mixtape yake inayokwenda kwa jina ‘Unlimited’.

Mixtape hiyo inayotegemewa kutoka siku za hivi karibuni itakayo kuwa na idadi ya ngoma 14 pamoja na bonus 3 ikiwa imewashirikisha wakali kibao kutoka Nigeria na wengine wanaofanya vizuri Afrika.

Imeshafahamika kuwa kwenye Mixtape hiyo utakutana na Mr. Flavour, Davido, CDQ, Tekno, Olamide, Sarkodie, ReekaDo Banks, MiCasa, Byno, Joel, Dj JimmyJatt, Dj Maphorisa, Locko, Dela, Fiokee, Dvyne, Poka Face, Tamba Hali, FI X Loo Loo, Belinda, Ivlyn Mutua na wengine kibao.

Comments

comments

You may also like ...