Header

Fahamu kuwa Mike Tyson alishasota jela akiwa mtoto

Bondia maarufu duniani wa uzito wa juu ‘Michael Gerard Tyson’ maarufu zaidi kwa jina la Mike Tyson kwa mara nyingine anasherehekea siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake miaka 51 iliyopita.

Mike amabye ni zaliwa wa June 30, 1966 amekuwa katika mashindan kutoka mwaka wa 1985 hadi 2005 na alitawala kama bingwa wa uzito mkubwa wa dunia na ni bondia wa uzito wa juu duniani unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi Duniani la WBC na kuwa bondia wa kwanza kuwahi kutwaa taji hilo.

Mike ni bondia ambaye mbai na kuwa katika orodha ya Mabondia waliowahi kufanikiwa lakini ana historia ya utukutu pamoja na uporaji na katika maisha yake hayo aliwahi kuweka jila ya watoto huko mjini New York, Marekani ili arekebishwe tabia.

Comments

comments

You may also like ...