Header

June 2017June 28, 2017

Michelle Rodriguez atishia kuitosa Fast & Furious

Michelle Rodriguez anayejulikana kama Letty Ortiz kwenye filamu Fast & Furious ametishia kujiondoa kuendelea kuigiza kwenye zinazofuata. Ametangaza kupitia Instagram kuwa kama filamu ijayo haitoonesha heshima kwa wanawake ataachana nayo. “F8 is out digitally today, I hope they decide ... Read More »

June 28, 2017 0