Header

June 2017


June 27, 2017

COSAFA yaondoa kiingilio, kuwaona Stars ni bure

Kamati ya maandalizi ya Michuano ya COSAFA inayoendelea nchini Afrika Kusini imetangaza kuwa Michezo yote iliyosalia ya raundi ya kwanza kuazia itakayofanyika Jumanne Juni 27 haitakuwa na kiingilio, mashabiki watapatiwa tiketi za bure kutazama mechi hizo. Raundi ya kwanza inatarajiwa ... Read More »

June 27, 2017 0

June 27, 2017

Weusi wadata na jinsi Ebitoke alivyoliamsha dude

Weusi wamependa kile mchekeshaji anayekuja juu nchini Ebitoke na kikundi chake walichokifanya kwa wimbo wao, Amsha Dude. Nick wa Pili amezungumza na Dizzim Online kuhusiana na clip ya wachekeshaji hao iliyosambaa mtandaoni ikiwaonesha wakiufanyia parody wimbo huo mpya. "Kina Ebitoke ... Read More »

June 27, 2017 0