Header

July 2017
July 31, 2017

Vanity Fair wamuingiza chaka Angelina Jolie

Angelina Jolie amekanusha vikali taarifa yake kwenye jarida la Vanity Fair iliyotafsiriwa vibaya kuhusu kuwafanyia uhuni watoto wa Cambodia walioshiriki kwenye filamu yake. Muigizaji huyo alichukua watoto wa nchi hiyo kuigiza filamu iitwayo First They Killed My Father. Alizungumza na ... Read More »

July 31, 2017 0

July 31, 2017

Ronaldo kupanda Mahakamani Hispania

Critiano Ronaldo yupo nchini Hispania ambako atafika mahakani siku ya Leo Jumatatu kusikiliza kesi yake inayomkabili ya ukwepaji wa kodi. Ronaldo, 32 ambaye ni Mwanamichezo anayelipwa pesa nyingi Duniani anashitakiwa kukwepa kulipa kodi ya zaidi ya Paundi Milioni 13.1 tangu ... Read More »

July 31, 2017 0
July 30, 2017

Wizkid atumia masaa 48 kuandaa Album

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria mwenye makazi yake Marekani, Wizkid baada ya ngoma kadhaa alizoachia akiwa katika ushirikiano na mastaa wakubwa wa Marekani na Dunia, imeonekana kuwa ameingia nchini Nigeria kimuziki zaidi na kuhusika katika kuandaa album ndani ... Read More »

July 30, 2017 0