Header

Video Mpya: Emanuel Austin – Long Time (Part 1 & 2)

Mwalimu wa dancer, rapper na muimbaji Mtanzania mwenye makazi yake Frankfurt, Ujerumani ameachia wimbo wake wenye hisia kuwahi kuuandika unaozungumzia safari yake toka maisha ya ufukara hadi kufanikiwa kwa kiasi kikubwa nchini humo. Wimbo huu una video mbili zilizounganishwa pamoja; iliyofanyika Dar na nyingine iliyofanyika Ujerumani.

Comments

comments

You may also like ...