Header

Video Mpya: Haitham Kim f/ Wema Sepetu – Playboy

Muimbaji aliyechukua nafasi ya Shaa kama First lady wa MJ Records, Haitham Kim ameachia video ya wimbo wake mpya, Playboy uliotayarishwa na Daxo Chali. Wema Sepetu ameshirikishwa kwenye wimbo huu na anasikika mwanzoni na mwisho mwa wimbo akizungumzia kuupa uzito ujumbe ulionuiwa kuwasilishwa.

Comments

comments

You may also like ...