Header

Beyonce alipitia na kupitisha kila wimbo kwenye album mpya ya JAY-Z

Beyonce ni sehemu muhimu katika maamuzi ya JAY-Z. Producer, No I.D. aliyeitayarisha album yote mpya ya JAY, 4:44 amesema Beyonce alishiriki katika kila hatua ya utengenezaji wa album hiyo ambayo mumewe alikiri kumsaliti.

No. I.D. alizungumza na gazeti la New York Times na kudai kuwa kila wimbo walioutayarisha ulipita kwenye sikio la Beyonce. “She came by a lot and played a good part in helping us get over hurdles on certain records. Of course she’s genius-level with that,” alisema.

Kingine producer huyo amesema yeye na JAY walilazimika kuchukua muda kufanya utafiti wa aina ya nyimbo za kufanya ili kuweza kuwashika wapenzi wa hip hop ya zamani na ya sasa.

Comments

comments

You may also like ...