Header

Ex- wa Nick Minaj ‘Safaree’ aiona siku muhimu kwenye maisha yake

Ni rapa na producer wa muziki kutoka Marekani aliyeshiriki kwenye uandaaji wa albamu ya pili ya rapa Nicki Minaj ya Pink Friday, anafahamika kama Safaree Lloyd Samuels lakini zaidi unaweza kumuita‘Safaree’ ambaye juzi kati tu aliingia kwenye ugomvi mkubwa na C.E.O wa Dream Chasers Records, rapa Meek Mill.

Safaree Samuels leo ni kumbukumbu ya tarehe na siku ya kuzaliwa kwake na kwa mujibu wa mwaka aliozaliwa inahesabika kuwa ametizia umri wa miaka 36. Na kingine kuhusu maisha yake ya umaarufu ni kuwa alishakuwa mpenzi wa Nicki Minaj wakaishia kuachana 2014, na karibuni Nicki katika muendelezo wa mahusiano yake baada ya kuachana na Meek Mill kwa sasa inasemekana anatoka na rapa Lil Scrappy.

Comments

comments

You may also like ...