Header

50 Cent na Stallone Rambo walishakutana na leo wamekutana tena

Muigizaji, Muongozaji na mkongwe wa filamu Sylvester Gardenzio Stallone a.k.a Stallone Rambo amekutanishwa na siku na rapa Curtis James Jackson a.ka 50 Cent ambapo imekuwa ni bahati kwao kwa kuwa siku ya leo inatafsiri sawa katika maisha yao.

Rambo na 50 Cent wanazidia tu miaka ya uzoefu wa sekta za kazi zao na wanapoletwa katika hali ya kutofautiana katika kila wanachokifanya, Rambo anamzidi rapa 50 Cent miaka 29 huku wawili hawa siku ya leo kwa pamoja wanasherekea siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwao na kingine cha kufanana kwao ni kuwa wote ni waigizaji wa filamu ambao walisha kutana katika filamu ya ‘Escape Plan’ ya mwaka 2013.

50 ni rapa ambaye anauza pindi anapotekea katika filamu kwakuwa ni mwenye wafuasi wengi kupitia muziki wa rap/hop hop na Stallone Rambo anauza zaidi kwakuwa katika maisha yake amekuwa katika upande wa tasnia ya maigizo(Filamu) kama muigizaji, mtayarishaji, muandishi na muogozaji wa filamu ambaye anatajwa kumiliki kiasi cha Million $400 huku 50 Cent akitajwa kumiliki kiasi cha Million $155.

Comments

comments

You may also like ...