Header

Kwa picha hizi Jux yupo single na tayari kumingle

Jux na Vanessa Mdee hawako pamoja tena na kila mtu anasubiria kwa hamu kujua mahusiano mapya ya mastaa hao. So far, bado kila mmoja anaonekana kusikilizia kwanza, ama kwa sasa wameamua kuyaweka nyuma ya pazia kama yapo.

Kwa upande wa Jux, anaonekana kama yuko huru kujiachia na warembo wengine, translation – yupo single na tayari kumingle. Mwishoni mwa wiki muimbaji huyo alijumuika kwenye pool party katika nchi ambayo hakuitaja.

Kwenye picha moja aliyopost anaonekana akiwa na mrembo aliyemuelezea kama rafiki mpya.

Comments

comments

You may also like ...