Header

Msinihabirie moment na Sarah wangu: Harmonize azima comments za Instagram kuepuka matusi ya haters

Harmonize hataki ujinga. Wakati ambapo ameanza kuuweka wazi zaidi uhusiano wake na Sarah, raia wa Italia, anajiepusha na kejeli za haters kwa mpenzi wake kwenye Instagram.

Mwishoni mwa wiki hitmaker huyo wa Matatizo alishare picha kadhaa akiwa na Sarah. Katika baadhi ya picha hizo wanaonekana wakicheza pool table pembeni ya mjengo wa kuvutia.

Hata hivyo kwenye picha hizo amemute comments. Amechukua uamuzi huo baada ya watu wengi kuandika comments za kumkejeli Sarah.

Comments

comments

You may also like ...