Header

Pacha Paul Okoye na mkewe Anita wakaribisha mapacha

Staa kutoka Nigeria na msanii pacha anayeunda kundi la ‘P-Square’ Paul Okoye na mkewe Anita Isama wamepata watoto mapacha.

Kupitia ukarasa wa Instagram Paul alipost picha yake akiwa kwenye chumba chenye hadhi na kuandika maneno ya kuwa amepata watoto hivyo umefika mwisho wa kungoja mtoto kilicho baki ni jukumu la malezi ya kwa watoto wao.

Paul na Anitha ni wanandoa wa miaka mitatu sasa ambao ni wenye jukumu lao la kulea watoto watatu kwakuwa walishapata mtoto wao wa kwanza wa kiume โ€˜Andre Okoyeโ€™ mwenye umri wa miaka minne sasa.

Comments

comments

You may also like ...