Header

Charlie Murphy alifanana tarehe ya kuzaliwa kwake na kifo chake

Muigizaji, staa wa uchekeshaji na ndugu wa mchekeshaji Eddie Murphy ‘Charlie Murphy’ katika kuzaliwa kwake na kufariki kwake lipo jambo lililofanana ambalo wengi wao hawakuamini wala kutegmea na wapo ambao mpaka sasa hawajawihi kugundua.

Akiwa ni mtoto wa kume kwa Charles Edward Murphy na Lillian Murphy ‘Charlie’ aliyefariki tarehe 12 Aprili akiwa ni mwenye umri wa miaka 57 , na taarifa za kufariki kwake zilifanani kwa upande wa kuwa alifariki tarehe ambayo ni sawa na tarehe aliyozaliwa ikiwa na tofauti ya miezi miwili tu.

Charlie katika kufunga ukurasa wa maisha yake Duniani kwa ugonjwa wa leukemia, alifariki tarehe 12 mwezi April na ni miongoni mwa waliozaliwa tarehe 12 mwezi Julai mwaka 1959.

Comments

comments

You may also like ...