Header

Wale awakutanisha mastaa wawili kutoka Afrika

Rapa kutoka Marekani anayefanya kazi chini ya Mayback Music Group(MMG), Olubowale Victor Akintimehn a.k.a Wale, ameongeza heshima kwa wasanii na muziki wa Afrika kwa kuwashirikisha wakali wawili kutoka nchini Nigeria.
Wale kupitia ngoma yake mpya ‘Fine Girl’ amewapa shavu Davido pamoja na Olamide kwa kuwashirikisha katika wimbo huo ambapo shavu la kushirikishwa halikuishia tu kwenye video, bali wametoke pia katendo ambacho kimeonesha wazi kuwa kuna ukubwa wa wasanii hao kutoka Afrika.
Hata hivyo Olamide na Davido wameshaonekana katika kolabo yao mpya ya wimbo ‘Summer Body’ unaotajwa kumdiss Wizkid unaotajwa kuwa ni nuendelezo wa bifu la Wizkid na Davido.

 

Comments

comments

You may also like ...