Header

Muimbaji wa Linkin Park aliyejiua azikwa Marekani

Mazishi ya faragha ya Chester Bennington, yamefanyika Jumamosi iliyopita huko Palos Verdes, Calif. kwa mujibu wa ripoti. Marafiki na wana familia wapatao 200 walihudhuria mazishi ya muimbaji huyo wa kundi la Linkin Park.

Bennington alijinyonga July 20 akiwa na miaka 41. Ameacha mke, Talinda, na watoto sita.

“He was a bright, loving soul with an angel’s voice,” alisema Talinda. “And now he is pain-free singing his songs in all of our hearts. May God bless us all and help us turn to one another when we are in pain. Chester would’ve wanted us to do so.”

Comments

comments

You may also like ...