Header

Picha: First Ladies wa WCB wakutanishwa Nairobi, Kenya

Zari The Bosslady, wa Diamond Platnumz na Sarah wa Harmonize, wamekutanishwa weekend hii kwa mara ya kwanza na wapenzi wao. First ladies hao wa WCB walikuwa pamoja na Diamond na Harmonize kwenye kiota cha raha za usiku, B-Club jijini Nairobi, Kenya.

Awali, Diamond na Zari walikuwa mjini Mombasa.

Comments

comments

You may also like ...