Header

Ratiba ya Mheshimiwa Rais yachangia kubadilika kwa tarehe ya Show ya Diamond Platnumz, WCB Wasafi na Mrisho Mpoto

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ametangaza mabadiliko ya tarehe ya Tamasha la Usalama Barabarani ambalo awali ilitangazwa kuwa litafanyika tarehe 5 mwezi wa Augusti, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond ambaye  alitegemewa kuwa atatoa burudani pamoja na wasanii wa kundi la WCB Wasafi na Mrisho Mpoto, ametuma ujumbe kuwa tamasha hilo ambalo mgeni Rasmi ni Rais wa Jamhari ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Magufuli litafanyika siku ya Jumapili ya terehe 6 mwezi wa Augusti ikiwa sababu za mabadiliko hao ni ratiba ya Mh. Rais.

Hata hivyo Diamond ambaye kwa sasa yuko nchini Kenya amabako alienda kwa lengo la mapumziko na mpenzi wake Zari Hassan ‘Zari The Boss Lady’ pia kushiriki kupata burudani wa wapenzi wa burudani mjini Nairobi katika Ukumbi wa kiwanja cha starehe cha B-Club.

Comments

comments

You may also like ...