July 2017

July 1, 2017
Cindy Sanyu akanusha uvumi kati yake na lebo ya muziki ya Grandpah Records
Staa wa muziki wa RnB, Dancehall na Ragga kutoka nchini Uganda Cinderella Sanyu a.k.a Cindy anayefanya vizuri na wimbo wake ‘Run This City’ ameweka sawa taarifa za kuwa hafanyi kazi tena na lebo ya muziki ya nchini Kenya Grandpah ... Read More »
July 01, 2017 0

July 1, 2017
Reggae ni muziki unaonena ukweli, ndio maana haupewi nafasi – Hardmad
Muimbaji mkongwe wa muziki wa reggae, Hardmad aka Kidume, amesema muziki wa reggae haupewi nafasi kutokana na jinsi ulivyojikita katika maudhui yanayolenga ukweli. Kwenye mahojiano na Dizzim Online wakati akipromote ngoma aliyoshirikishwa na rapper wa Arusha, Davan Trappe, nguli ... Read More »
July 01, 2017 0

July 1, 2017
Ray C: Nilishindwa kufanya video na Hanscana sababu ya ubusy wake
Ray C amesema alishindwa kufanya video na Hanscana kutoka na muongozaji huyo kuwa busy. Kauli ya Ray C inakinzana na ya Hanscana ambaye aliiambia Dizzim Online kuwa muimbaji huyo alibadili mawazo na kufanya na muongozaji mwingine. Muimbaji huyo ambaye jina ... Read More »
July 01, 2017 0

July 1, 2017
Mourinho akasirishwa na Kasi ya Usajili Man U
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amekasirishwa na kamati ya Usajili ya klabu hiyo ambayo ipo chini ya Mkurugenzi mtendaji Ed Woodward baada ya kuonekana kushindwa kukamilisha usajili wa wachezaji anaowataka kwa wakati husika katika dirisha hili la usajili. ... Read More »
July 01, 2017 0

July 1, 2017
Willy Paul awaonya wapenzi wenye tamaa ya pesa
Msanii wa muziki wa Injili kutoka Kenya na hitmaker wa ngoma ‘Stolia’ na ‘Tamu tamu Remix’ Willy Paul ameachia wimbo unawalenga wale wanaoshindwa kudumu kwenye mahusiano kwasababu ya kuyumba kwa uchumi kwa mtu binafsi. Baada ya kufanya poa na wimbo ... Read More »
July 01, 2017 0

July 1, 2017
Luis Suárez na Neymar kuhudhuria ndoa ya Lionel Messi
Nyota wa klabu ya mpira wa miguu ya Barcelona, Lionel Messi yuko kwenye hatua za mwisho kufunga ndoa na Antonella Roccuzzo mrembo ambaye walikutana na kukua pamoja nchini Argentina. Ni msaa machache yajayo Messi afanikishe ndoa na mrembo wake huyo ... Read More »
July 01, 2017 0

July 1, 2017
Bien wa Sauti Sol kuupiga jeki muziki na wasanii wake kwa Siasa
Msanii kutoka kundi la muziki la Sauti Sol la nchini Kenya Bien-Aimé Baraza a.k.a Bien Sol, amezungumzia nia yake ya kuingia katika uwanja wa siasi na kuweka wazi kuwa ni moja ya mipango ya maisha yake. Bien amezungumzia nia yake ... Read More »
July 01, 2017 0

July 1, 2017
Kilichomtoa machozi Jay Moe kuhusu Langa chamfuata P The Mc
Rapa na mkali wa ngoma ya ‘Mitaa Nayotoka’ P The Mc a.k.a Mawenge ameonesha kukumbuka mistari ya wimbo wa rapa Langa aliyefariki 2013, mistari ambayo ilisemekana iliichana ikiwa ni diss kwenda kwa rapa Jay Moe. Kupitia ukurasa wa Facebook P ... Read More »
July 01, 2017 0

July 1, 2017
Jay-Z na Beyoncé wawapatia mapacha wao wajina
Rapa Jay-Z na mpenzi wake Beyoncé wiki hii wamekaribisha ujio wa watoto wao mapacha wa kike na wa kiume ambapo jana rasmi wametangaza majina ya watoto hao. Wapenzi hao ambao amezungumziwa zaidi kupitia album mpya ya Jay-Z ‘4:44’ ambayo kupitia ... Read More »
July 01, 2017 0

July 1, 2017
Siku ya leo yawagonganisha Plies na Missy Elliott
Kutoka Marekani mbali na kuwa wote wanafanya muziki wa rap, Plies na mchanaji wenzake wa kike Missy Elliott katika kuzidiana miaka 5 kiumri kuna kingine kinawakutanisha na kuwafananisha siku zote za maisha yao. Missy Elliott ni staa wa wimbo ‘Get ... Read More »
July 01, 2017 0