Header

July 2017

July 25, 2017

Video Mpya: Naj – Utaelewa

Baada ya kimya cha muda mrefu, Naj ameachia kazi yake mpya na ya kwanza chini ya label yake na mpenzi wake Barakah The Prince, BANA Music. Ngoma imetayarishwa na Man Walter na video kuongozwa na Msafiri wa Kwetu Studios. https://www.youtube.com/watch?v=RoO-pTWwHy0&feature=youtu.be

July 25, 2017 0
July 25, 2017

Linah Sanga apata mtoto wa kike

Linah Sanga amekuwa mama. Muimbaji huyo amejifungua mtoto wa kike Jumanne hii katika hospitali ya Marie Stopes, jijini Dar es Salaam. Jina la mtoto bado halijafamika. Tunampongeza sana Linah kwa kujaliwa kupata mtoto wake wa kwanza.

July 25, 2017 0