Header

Nyashinski na mrembo mjasiriamali upepo wa mahaba waanza kuvuma

Staa wa ngoma Mungu Pekee na Malaika kutoka nchini Kenya,  Nyamari Ongegu a.k.a Nyashinski amedondokewa na jumba la tetesi ya kutoka kimapenzi na mrembo mjasiriamali na mmiliki wa kampuni ya mitindo na mavazi ya Zia collections’ Zia Bett.

Zia Bett

Kwa picha picha za hapa na pale Nyashinski ameonekana katika mazingira ya ukaribu zaidi na Zia huku watu wa karibu wanazungumzia kuwa wawili hao wanaonekana katika dalili za mahaba mahaba ingawa wawili hao sio watu wa kuweka maisha ya mahusiano katika macho ya mashabiki wenye hamu ya kujua.

Zia Bett and Nyashinski

Hata hivyo Zia na Nyashinski hawajajitokeza kukanusha uvumi huo inagwa kupitia mitandao ya kijamii umepamba mtot zaidi. Nyashinski pia imeshaonekana katika picha na Zai nahaijabainishwa ni kipi cha tofauti kilichowakitanisha.

Comments

comments

You may also like ...