Header

Mtoto wa Chris Brown kuja na Mavazi ya watoto

Mtoto wa kike wa staa kutoka Marekani Chris Brown ‘Royalty Brown’, rasmi ameingia katika biashara ya nguo akiwa ni mwenye umri wa miaka mitatu tu kwa kushirikiana zaidi na mama yake mzazi ‘Nia Guzman’.

Royalty ambaye kiabshara ataimiliki biashara hiyo ya nguo za watoto wa kiume na wakike iliyopewa jina la ‘Royalty Brown’, atapata ushirikiana wa hali ya juu kutoka kwa mama yake katika kutangaza nguo hizo.

Mama mzazi wa Royalty amezungumza na mashabiki wake na kupitia akaunti yake ya mtandao wa Instagram kwa kupost kuwa leo ni siku rasmi wa nguo hizo za watoto kuingia sokoni hivyo wateja wa wenye kuhitaji nguvo za umri wa watoto wadogo wanaweza kuwa karibu na bidhaa hizo kupitia RoyaltyBrown.com kwa taarifa pia kufanya manunuzi.

Comments

comments

You may also like ...