Header

50 Cent aipiga vijembe Empire, azinguana na Gabrielle Union

50 Cent ameipiga vijembe tamthilia ya Empire ambayo kuna wakati ilikuwa ikishindana na Power. Mambo yamegeuka sasa hivi, Power ambayo 50 ni muigizaji na mtayarishaji, imekuwa juu zaidi. Rapper huyo ametumia Instagram kujigamba kwa kuandika:

Remember that other show that thought they were in competition with POWER, what happened to it? I don’t hear anyone talking shit anymore. 😆Now I’m gonna take over BET. LOL #50Centralbet

Hata hivyo, post hiyo imemuudhi muigizaji wa tamthilia ya Mary Jane ya BET, Gabrielle Union aliyemjibu 50 na kuzalisha sintofahamu kati yao.

50 amepost mazungumzo hayo na kuyawekea caption: You keep it up I’m a tell Dwyane, because I feel like your picking a fight with me. He ain’t gonna like this shit. LOL #50Centralbet

Kabla ya hapo, 50 alipost picha akiwa akiwa mbele ya poster ya tamthilia ya Mary Jane na kuandika:

This is supposed to be my competition, it’s rated #1 on BET check it out. it’s good but I’m gonna beat the ratings with (50central)#50centralBET

Huenda hiyo ndiyo post iliyomchokoza Union mara ya kwanza.

Comments

comments

You may also like ...