Header

Beyonce atoa msaada wa $1.5 kimya kimya

Wiki iliyopita, Beyonce na mume wake Jay Z walikuwa kwenye headlines baada ya kudaiwa kununua nyumba yenye thamani ya dola milioni 135. Lakini sasa imebainika kuwa, Bey anakula na wasiojiweza pia.

Muimbaji huyo anadaiwa kuwa mwaka jana alitoa msaada wa dola milioni 1.5 kwa taasisi inayoelimisha watoto wanaoishi katika mazingira magumu.

Music News & Rumors wametweet: Industry insiders say Beyoncé donated $1.5 million to charity last year under aliases so the good deeds could not be traced back to her.

Comments

comments

You may also like ...