Header

Kylie Jenner ajipanga kuingia kwenye muziki

Kylie Jenner yuko tayari kupambana na wasanii kama Ariana Grande, Miley Cyrus pamoja na Blac Chyna kwa kuingia kwenye muziki. Taarifa zinadai kuwa kuachana na Tyga ni moja ya sababu iliyomfanya aingie kwenye muziki. Mtandao wa The Sun umeandika:

Kylie knows that people wonder if she has any talent but she has a very nice singing voice. The break-up with Tyga crushed her. She felt used and has decided to pour her heart out into her music. She wants to release tunes independently next year.

Mrembo huyo anadaiwa kuandikiwa nyimbo na PARTYNEXTDOOR. Taarifa hiyo imekuja siku chache baada ya hasimu wake na aliyekuwa wifi yake, Blac Chyna naye kujipanga kuingia kwenye muziki akisaidiwa na Nicki Minaj.

Comments

comments

You may also like ...