Header

Video ya ‘Shape Of You’ yatajwa kimataifa kuwa iliyotazama zaidi kwenye YouTube nchini India

Mwanamuziki na shindi wa tuzo ya Grammy Ed Sheeran baada ya kufanya vizuri zaidi mwanzoni mwa mwaka huu kupitia wimbo wake wa ‘Shape Of You’ ameshika nafasi ya juu nchini India kuwa video ya muziki uliyotazamwa zaidi katika mtandao wa Youtube nchini India.

Wimbo huo uliotoka rasmi mwezi Januari mwaka huu ukiwa sambamba na video yake umepata mfanikio kwa kupata mapokezi makubwa zaidi hata kutajwa kuwa kati ya nyimbo ambazo zimepata kufanyiwa marudio na wasanii na bendi baadhi Duniani na mashabiki kwa kuufuata nyayo za Ed Sheeran(Cover) kwa wingi zaidi.

Video hiyo ya wimbo ilioongozwa na Director aliyepata zaidi maarufu Jason Koenig imehesabika kuwa ni video inayoshika nafasi ya 16 kuwa video iliyotazama zaidi kwenye mtandao wa YouTube kati ya zile zinazoshikilia record ya kutazamwa zaidi ikiongozwa na video ya Luis Fonsi ‘Despacito’ ft. Daddy Yankee iliyofikisha watazamji bilioni 3.

Comments

comments

You may also like ...