Header

Hamisa Mobetto amleta duniani mtoto wa kiume

Hamisa Mobetto amejifungua mtoto wa kiume Jumanne hii, August 8. Mtoto huyo kwa sasa anamtambulisha kama Baby Dee. Ametumia Instagram kushare habari hiyo njema.

“Ahsante MUNGU🙏🏾❤️. Welcome to the world Champ @tanzanian_baby I love U 🙌🏾,” ameandika kwenye picha ya kwanza.

Kwenye picha ya pili, Hamisa ameandika: 🙏🏾…. ❤️ @tanzanian_baby love you baby Dee ❤️.”

Hongera sana Hamisa.

Comments

comments

You may also like ...