Header

Drake na Future washtakiwa na msichana aliyebakwa kwenye show yao

Shabiki wa Drake na Future amefungua mashtaka dhidi ya rappers hao baada ya mwaka jana kwenye ziara yao Summer Sixteen Tour kubakwa. Anataka alipwe dola milioni 25.

Mwanamke huyo anasema alikuwa anajaribu kukutana na Drake na Future backstage huko Bridgestone Arena, Nashville na mtu anayehusika na ukumbi huo kusema asingemruhusu.

Msichana huyo anasema alimfuata mwanaume huyo kabla ya kumsukuma na kumbaka.

Polisi wamemtambua mtuhumiwa kuwa ni Leavy Johnson, aliyekamatwa kwa kosa la kubaka mwezi January. Kwa anasubiri hukumu. Na sasa msichana huyo anasema Drake na Future, ukimbu huo na wengine walipaswa kujua hatari ambayo Johnson angekuwa nayo.

Comments

comments

You may also like ...