Header

Olamide ajitetea mikononi mwa Wizazra ya afya Nigeria

Rapa kutoka Nigeria, Olamide Adedeji a.k.a Olamide baada ya kuigia katika msumeno wa Wizara ya Afya ya nchini Nigeria kwa kuzuia vituo vya matangazo kucheza nyimbo kadhaa ilikiwemo ‘Wo’ amezungumzia mzozo huo unaoizungumzia zaidi video ya wimbo wake.

Olamide amejitete kwa kusema kuwa hakuwa na lengo la kukuza na kuamashisha matumizi ya tumbaku nchini Nigeria kama ilivyochukuliwa, ambapo maudhui ya wimbo huo yalitajwa kuwa yanakiuka Sheria ya udhibiti kitabibu ya mwaka 2015.

 

 

Wizara ya Afya ya nchini Nigeria baada ya kuupata ujumbe wa kujieleza wa Olamifde kupitia ukurasa wao rasmi wa twitter ilimshukuru na kuonesha kuwa imeeheshimu upendo ulionao kwa kujali Afya ya watu kwa ujumla.

Comments

comments

You may also like ...