Header

Exclusive: Matonya aelezea kikubwa kilichomsukuma kufunguka kuhusu ‘Zilipendwa’ ya WCB (Video)

Kutoka Tanzania Staa wa ngoma ya ‘Vailet’ Matonya ameibuka na maneno yake kuelekea wimbo mpya wa wasanii wa WCB Wasafi kwa malalamiko yakilenga kufanana kwa wazo la wimbo wa ‘Zilipendwa’ na wimbo wake wa zamani.

Matonya ambaye kwa sasa yuko nchini Kenya kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost kipande kifupi cha wimbo wake wa ‘Zilipendwa’ akiambatanisha ujumbe wenye sura ya kuhisiwa kama wazo la waimbo wale lina ushabiliano na wimbo mpya wa WCB Wasafi ‘Zilipendwa’ na kuwa anagetafutwa kwa mazungumzo japo naye atoe baraka za kutumika kwa wazo la ‘Zilipendwa’.

Dizzim Online imelizamia suala hili ili kusikia nini ambacho zaidi kinahitakika kufanyika na ili hali ya hewa iwe sawa kwa upande, naye hakusita kufunguka kwakuwa katika mahojiano amefunguka yale ya moyoni.

Msikilize kupitia XKipande.

Zitazame na kuzisikiliza nyimbo hizi mbili kisha utoe maoni yako.

Diamond Platnumz , Rayvanny , Harmonize , Mbosso ,Lavalava , Queen Darleen and Rich Mavoko.- Zilipendwa.

Matonya- Zilipendwa.

Comments

comments

You may also like ...