Header

Mashabiki walia na penzi la Jux na Vanessa Mdee

Staa wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania, Juma Jux na muimbaji Vanessa Mdee kwa mashabiki imeonekana kuwa walipendezwa sana na uliokuwa uunganiko wao kama wapenzi na huku maoni ya wengi yakionekana kuwaomba warudiane na baadhi yao kujaribu kutuma maombi kwao.

Baada ya mahojiano ya Jux na Chilly na Sky ya Dizzim Online maoni ya wini yameibuka wakiwataka wamelize tofauti yao na warudi kuwa wapenzi kama zamani kulingana na kile walichokisikia kutoka kwa Jux ambapo amebainisha kuwa wazo la wimbo wake mpya lilizaliwa kutokana yeye kuwa kayika panda shuka za kimahaba na Vanessa.

Hata hiivyo kwa maoni ya baadhi ya waliomsikia Jux katika maojiano imehisiwa kwamba waligundua kuwa bado kuna mahaba ya dhati kwa Jux, hivyo sio vyema kama hawatarudiana.

ย Haya ni baadhi ya maoni ya wasomaji weyu na mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva
mludiane bhn mnapendeza Sana Mkiwa pa1
mrudie vanessa ni mzur
jux unaimba fresh hujawahi niangusha Big up sanaaaa
Juma Jux Best R&B Tanzania
Kaen tu muyamalize kama wenyewe wote bado mnapendana
duuh….ili kuwa poa sana couple yenu plz msameheane jaman tuu
true love never dieโค
Mrudiane nawapenda mkiwa pamoja na v money
m mwenywe nilkuwa nawapenda
hope mmeruadiana kwa nilichokiona moro kwenye xxl
Juma jux plz rudiana v money mweee v Msamee jux myajengee ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ขtz good caple hamjui tu
Jamani sis vee money ๐Ÿ’ฐ pls forgive him ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ coz he’s said his loves you ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™
Pouwa jux haina mbaya tupige kaz tuu
Jamani watu wanavyo wapenda ni shidaa tuuu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜especially me ndo shidaa sasa kuwa penda
Kaka nakuelewa sana, kama mtaweza mgelekebisha tuu hiyo mambo inawazinguwa
jux umekonda sana kwanini usirudiane n’a vi minaona msameane tuuuu mrudi kama zamani
tunaomba penzi lenu lirudi jamani
Inaonesha jux unampenda v na V anakupenda ASA kwann mmoja asijifanye bwege tu yakaisha mmoja ajishushe yaishe
Daah mim mwenyewe inaniuma mpka kesho why mmeachana jamanii daah bora mkae mlitatue tatzo jamani
these two must just get over this and make babies…
Jux my kwani mmefanyiana kubwa gn hadi mshidwe kusorve bana we mwanaume na unadai bd wanapenda sasa ttzo nn bwana yamalize mpigie hata magoti atar kt gn bana ikiwezekana lia kabisa bana atakusamehe tu
Plz you guys solve this once, you are meant to be together.personally I look up to you
jaman please naomba mrudiane dahhhh
Jux na Vanessa kaen chini mtatue tatzo cjapenda kuachana kwenu imeniuma
Oya bro Jux ludiana bana na Vanessa Mdee……. Coz kuachana kwenu kumeadhil uhusiano wangu na mpenz wangu so itakuwa good sana mkiludiana bro
Kauli ya Vanesa kwamba hawezi kuludiana na mpenzi akishaachana , mi siamini sababu Mapenzi naamini hua nimakubwa kuliko sheria
jamani nawaomba mrudiane pleeeels juma jux nawapenda mkiwa pamoja sana
Me nimeumia sana kama vile nimeacha mimi
Jamani Vanessa msamehe mwenzio anatia huruma

Comments

comments

You may also like ...