Header

Humble yamvimbisha Kendrick Lamar usiku wa ‘MTV VIDEO MUSIC AWARDS’ 2017

Rapa na Staa wa ngoma ya Humble ‘Kendrick Lamar’ amejitanua kifua mara sita kwenye usiku wa tuzo za ‘MTV VIDEO MUSIC AWARDS’ 2017 kwa kuibuka na tuzo sita kupitia video ya wimbo wake wa HUMBLE, ngoma inayopatikana kwenye album yake ya ‘DAMN’ iliyotoka mwaka huu.

Tuzo hizo ambazo muandishi na muimbaji Katy Perry alikuwa Host, zilizofanyika usiku wa jana mjini Los Ageles kwenye ukumbi wa ‘The Forum kabla ya siku ya utoaji wake rapa Kendrick alikuwa katika vipengele 8, akifuatiwa na Katy Perry na The Weeknd waliokuwa na kwenye vipengele 5.

 

Hivi ni vipengele alivyoshinda rapa Kendrick Lamar.

VIDEO OF THE YEAR

Kendrick Lamar – HUMBLE.

BEST HIP HOP

Kendrick Lamar – HUMBLE.

BEST CINEMATOGRAPHY

Kendrick Lamar – HUMBLE.

BEST DIRECTION

Kendrick Lamar – HUMBLE.

BEST ART DIRECTION

Kendrick Lamar – HUMBLE.

BEST VISUAL EFFECTS

Kendrick Lamar – HUMBLE.

Ngoma iliyomvimbisha Kendrick Lamar usiku huo wa Tuzo. ‘Humble’

Comments

comments

You may also like ...