Header

August 2017


August 30, 2017

Wizkid kupakua kolabo yake na rapa Future

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria Wizkid ameendeleza ubabe katika kuachia kolabo kubwa zote alizofanya kipindi ambacho amekuwa akitajwa kuwa msanii anayefanya vizuri katika muziki wake hasa mwanzoni mwa mwaka 2015, 2016 na mwaka huu wa 2017. Kupitia akaunti yake ... Read More »

August 30, 2017 0


August 29, 2017

Idris Sultan: Uchekeshaji umenipa maisha mazuri

Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania Idris Sultan amefunguka faida alizozipata baada ya kuingia kwenye tasnia ya uchekeshaji. Akizungumza na Dizzim Online, mshindi huyo ya Big Brother Africa 2014 amesema uchekeshaji umempa vitu vingi sana katika maisha yake ambavyo hakuwahi kufikiria hata ... Read More »

August 29, 2017 0